Kutengeneza jibini la soya
Uploaded 4 years ago | Loading
8:54
Kwenye video hiii, tutaona jinsi ya kutengeneza jibini bora la soya. Kwa jibini bora la soya, kuna hatua sita za kufuata : Chagua,pepeta na panga nafaka bora; Loweka maharagwe ya soya kwenye maji masafi ambayo hubadilishwa kila mara; Saga nafaka mtamboni; Toa maziwa kwenye soya; Pika maziwa ya soya na kusanya jibini.
Current language
Kiswahili
Produced by
DEDRAS