Kuwatega nzi wa matunda
Uploaded 6 years ago | Loading
12:59
Feromoni ni kemikali zinazowavutia nzi wa kiume pekee. Feromoni hunukia kama nzi wa kike, hivyo kuwavutia nzi wa kiume kutoka umbali unaozidi mita 100. Katika video hii, tutajifunza kuhusu mitengo mbalimbali ya feromoni na jinsi ya kuyaweka shambani.
Current language
Kiswahili
Produced by
Agro-Insight