Tiba ya miti shamba dhidi ya uvimbe wa kiwele
Uploaded 3 years ago | Loading
15:12
Ugonjwa wa kuvimba kwa kiwele hufanya kiwele kuwa chungu, hivyo ng'ombe hawataki kukamuliwa. Ikiwa haitatibiwa hivi karibuni, kiwele zingine pia zitaathirika na kiwele kinaweza kuharibika. Wakati ng'ombe ana ugonjwa wa kiwele, maziwa yake si mazuri kunywa.
Current language
Kiswahili
Produced by
Atul Pagar, Anthra