Kilimo mseto cha nanasi pamoja na migomba na maharagwe
Uploaded 4 years ago | Loading
13:29
Pilipili isipokauka, huota ukungu na kuharibika. Baadhi ya ukungu hutoa sumu inayoitwa sumukuvu ambayo ni hatari kwa watu. Ili kuharakisha kukauka na kuboresha usafi wa chakula, unaweza kutumia kikaushiaji cha jua ili kukausha matunda na mboga zako. Katika video hii, tutajifunza jinsi ya kuunda na kutumia zana nafuu ya kukausha pilipili kwa jua.
Current language
Kiswahili
Produced by
NOGAMU