<<90000000>> viewers
<<240>> entrepreneurs in 17 countries
<<4135>> agroecology videos
<<105>> languages available

Kukausha pilipili kwa jua

Uploaded 3 years ago | Loading

Pilipili isipokauka, huota ukungu na kuharibika. Baadhi ya ukungu hutoa sumu inayoitwa sumukuvu ambayo ni hatari kwa watu. Ili kuharakisha kukauka na kuboresha usafi wa chakula, unaweza kutumia kikaushiaji cha jua ili kukausha matunda na mboga zako.Zana za kukausha kwa jua zina ukubwa na maumbo mbalimbali lakini utendakazi ni sawa.Kuna zana ghali za kukaushia kwa jua ambazo zinaweza kukausha kiasi kikubwa cha viungo na vyakula mwaka mzima. Zana hizi hutumia jua na vyanzo vingine vya joto ili kudumisha kiwango cha joto. Kuna mfumo wa kupulizia unaosambaza hewa yenye joto juu ya chakula ili kuondoa unyevu haraka.Zana nafuu za kukaushia kwa jua hutumia joto la jua pekee. zimeundwa kwa namna ambayo hata bila mfumo wa kupuliza hewa, chakula bado kinaweza kukauka.Katika video hii, tutajifunza jinsi ya kuunda na kutumia zana nafuu ya kukausha pilipili kwa jua.

Current language
Kiswahili
Produced by
Agro-Insight
Share this video:
How you can help... Your generous donation will enable us to give smallholder farmers better access to agricultural advice in their language.

Recent Videos

With thanks to our sponsors