Kudumisha ubora na usafi wa maziwa
Uploaded 4 years ago | Loading
12:00
Reference book
Viwanda vya kisasa vya maziwa hununua maziwa mabichi kutoka kwa wakulima na wafugaji vijijini ili kusindika bidhaa mbalimbali.Kampuni hizo hulipa bei nzuri, lakini zina masharti makali ya usafi: Zinanunua maziwa safi na mabichi pekee.
Current language
Kiswahili
Produced by
Agro-Insight