Kurekodi hali ya hewa
Uploaded 2 years ago | Loading

13:50
Reference book
Kwenye daftari lako, waweza kuandika tabiri za hali ya hewa kwa kuzingatia viashiria asilia, hali halisi ya hewa ya kila siku, shughuli za shambani na ustawi wa mimea. Hii itakuwezesha kujifunza kila mwaka, kufunzana na wenzako maarifa na kujiandaa vyema kwa siku za usoni.
Current language
Kiswahili
Produced by
Agro-Insight