Maharage kwa maeneo ya nyanda za chini
Uploaded 3 years ago | Loading
8:00
Panda tu mbegu mbili au tatu kwa kila shimo. Katika video hii tutajifunza jinsi ya kupanda maharage katika maeneo ya chini. Ikiwa tutapanda maharage kwenye pwani ya kusini ya Guatemala, mavuno yatakuwa ya juu.
Current language
Kiswahili
Produced by
TV Agro-CentroAmerica