Uvunaji,ukaushaji na uhifadhi mbegu za maharagwe ya soya
Uploaded 4 years ago | Loading
7:29
Mbegu ya maharagwe ya soya ambayo huvunwa vibaya na kuhifadhiwa vibaya hupoteza uwezo wake wa kuota kwa sababau ya unyevuvyevu na joto linalouwa sehemu hai ya mbegu. Mbegu zenye unyevu au ukungu zitaoza wakati wa kuhifadhi. Katika video hii, tutazungumzia kuhusu uvunaji wa maharagwe ya soya, ukaushaji, upepetaji, uchaguaji na uhifadhi.
Current language
Kiswahili
Produced by
DEDRAS