Kuboresha uji kwa kutumia mabuyu
Uploaded 4 years ago | Loading
07:53
Nyama la tunda la mbuyu lina thamana lishe ya hali ya juu sana. Mbuyu una kua kiasili hasa kwenye sehemu zilizo kauka kusini mwa saharani na sehemu nyingine duniani. Katika video hii, tutaona jinsi ya kuboresha uji kwa urahisi na protini, madini na vitamini.
Current language
Kiswahili
Produced by
Hochschule Rhein-Waal, Biovision