Kuhamisha pilipili
Uploaded 4 years ago | Loading
11:35
Kwa kufanya kitalu chako kiwe cha upana wa mita moja, unaweza kutunza mimea bila kuikanyaga.Ili kupata miche thabiti yenye afya, udongo katika kitalu unafaa kuwa na rutuba, uwe laini na maji ya kutosha.Usipandee mbegu nyingi mno katika mtaro mmoja la sivyo, miche itakuwa mirefu na myembamba sana na hivyo kuwa rahisi kuharibika wakati wa kuhamisha.Unaweza kuondoa miche kwenye kitalu wakati inaweza kujisimamisa yenyewe baada ya kuhamishiwa shambani.
Current language
Kiswahili
Produced by
Agro-Insight