Kujitengenezea mbolea oza ili kushinda Kiduha
Uploaded 8 years ago | Loading
0:00
Unapotumia mbolea oza, hali ya udongo inakuwa nzuri na hubaki na unyevu kwa muda mrefu. Nyongeza isiyojulikana sana ni kwamba, vidudu vidogo ndani ya mbolea oza huvamia kiduha ndani ya udongo.
Current language
Kiswahili
Produced by
Agro-Insight, AMEDD, Countrywise Communication, FLASH, Fuma Gaskiya, ICRISAT, INRAN, UACT