<<90000000>> viewers
<<240>> entrepreneurs in 17 countries
<<4135>> agroecology videos
<<105>> languages available

Kukunja mahindi

Uploaded 5 years ago | Loading

Sisi watu wa Amerika ya Kati tunajua jinsi ya kukunja mimea ya mahindi. Ni desturi nzuri kwa sababu inazuia maji mengi kuingia katika ncha ya gunzi, kwa hivyo mahindi hukauka vizuri bila magonjwa mengi. Sehemu ya juu haiozi na si rahisi kuliwa na ndege.

Current language
Kiswahili
Produced by
TV Agro-CentroAmerica
Share this video:
How you can help... Your generous donation will enable us to give smallholder farmers better access to agricultural advice in their language.

Recent Videos

With thanks to our sponsors