Kuvuna, kukausha na kuhifadhi pilipili
Uploaded 4 years ago | Loading
11:00
Kutegemea hali ya hewa na aina, pilipili inaweza kuvunwa kati ya miezi minne na mitano lakini si pilipili zote huiva kwa wakati mmoja.Katika mmea mmoja, utapata pilipili iliyoiva nyekundu kabisa ikiwa pamoja na pilipili ambayo bado ni njano. Kwa hivyo pilipili inafaa kuvunwa katika nyakati fotauti.Masuala fulani yanafaa kuzingatiwa.
Current language
Kiswahili
Produced by
NASFAM