Kuvuna, kupiga na kuhifadhi ufuta
Uploaded 4 years ago | Loading
8:59
Reference book
Ni rahisi kukuza ufuta. Lakini mbinu duni za kuvuna, kupiga na kuhifadhi zinaweza kupunguza ubora wake. Mawe, changarawe na taka nyingine, zinaweza kuchanganyika nao kwa urahisi na kuathiri bei.Katika video hii, tutajifunza jinsi ya kuvuna, kupiga na kuhifadhi ufuta kwa namna inayodumisha ubora.Ufuta ukikomaa sana shambani, maganda yake hupasuka na kuachilia mbegu. Kwa hivyo unapoteza mbegu nyingi na pesa vilevile.
Current language
Kiswahili
Produced by
Countrywise Communication