Msongamano wa mimea ya soya
Uploaded 4 years ago | Loading
10:49
Katika video hii, tutajifunza kuhusu jinsi ya kupata msongamano bora wa mimea ya soya katika shamba zetu ili kupata mavuno na mapato mengi.Kwanza, ni sharti tuzingatie mambo manne:Tumia mbegu zinazokua vyema;Punguza nafasi kati ya safu za miche na kati ya mashimo;Usikanyage mashimo ya kupandia;Dhibiti wanyama wanaokula mbegu na miche shambani baada ya upanzi.
Current language
Kiswahili
Produced by
DEDRAS