Kutengeneza viungo kutoka kwa maharagwe ya soya
Uploaded 4 years ago | Loading
9:57
Reference book
Ulimwenguni kote, watu huongeza viungo kwenye mapishi yao ili yawe na ladha nzuri. Afrika mahagaribi, sosi nyingi hutengenezwa kutumia viungo vilivyotengenezwa na mbegu kutoka kwa mti wa mnienze,unaojulikana pia kama mkunde. Nchini Mali, viungoa hivi huitwa soumbala. Kutokana na kukithiri kwa ukataji miti katika mkoa wa Sahel, Soumbala imekua bidhaa adimu na ghali. Ingawa vidonge mraba hutumiwasana, baadhi ya wnawake nchini Mali wameanzisha vibadala vizuri vya kutengeneza soumbala kutokana na maharagwe ya soya.
Current language
Kiswahili
Produced by
AMEDD