Kudumisha usafi wa aina za ufuta
Uploaded 4 years ago | Loading
9:07
Reference book
Viwanda huhitaji mbegu za ufuta zilizo na rangi sawa, ukubwa sawa, kiwango cha mafuta na wanga kilicho sawa vilevile.Ufanisi wa kukuza na kuuza ufuta hutegemea ubora wa mbegu ambapo pia, unategemea aina. Usafi wa aina una maana kwamba, ufuta wote ni wa aina moja.
Current language
Kiswahili
Produced by
MOBIOM, AMEDD