Kudhibiti fukusi wa migomba
Uploaded 4 years ago | Loading
11:30
Katika video hii, tutajifunza jinsi mdudu huyu hukua, unavyoweza kutambua kama wapo na namna ya kutumia vipandwa bora ili kuanzisha mashamba mapya ya migomba.
Current language
Kiswahili
Produced by
NOGAMU