<<90000000>> viewers
<<240>> entrepreneurs in 17 countries
<<4135>> agroecology videos
<<105>> languages available

Kuweka mbegu ya kunde

Uploaded 7 years ago | Loading

Mimea ya nafaka pia hufaidika  inapokuzwa pamoja, au kubadilishana na kunde, kwa sababu kunde huongezea udongo rotuba kwa kutoa nitrogen hewani. Ili kubadilishana au kukuza mahindi, mawele ama mtama pamoja na mmea wa maharagwe, unahitaji mbegu nzuri. Kuhifadhi  mbegu nzuri ya maharagwe, ina changamoto mbili. Kwanza, mbegu hupoteza haraka  uwezo wa kuota. Na pili,  si sisi pekee tupendeao maharagwe.

Current language
Kiswahili
Produced by
Agro-Insight, CBARDP, Countrywise Communication, ICRISAT, SARI, Technoserve
Share this video:
How you can help... Your generous donation will enable us to give smallholder farmers better access to agricultural advice in their language.

Recent Videos

With thanks to our sponsors