Mbolea Minyoo ya maji maji, dawa asili ya mimea
Uploaded 4 years ago | Loading
13:22
Reference book
Mbolea minyoo ya maji maji ni maji yanayokusanywa kutokana na maji yanayopitia kwenye mbolea ya mboji iliyotengenezwa na minyoo. Huimarisha vichocheo, virutubishi na lishe muhimu kama nitrojeni, phospherous na potassium.
Current language
Kiswahili
Produced by
Shanmuga Priya