<<90000000>> viewers
<<266>> entrepreneurs in 18 countries
<<4647>> agroecology videos
<<107>> languages available

Sayansi ya kiduha

Uploaded 8 years ago | Loading

Gugu chawi au kiduha ni mojawapo ya magugu hatari kwa mutama, mawele na mahindi. Gugu hilo hushambulia na kuishi juu ya mmea mwingine huko likifyonza chakula cha ule mmea linalokalia. Kinyume na tunavyoaamini, kiduha halizaani kupitia mizizi bali ni kwa mbegu. Mbegu hizi ni ndogo sana hata mkulima asiweze kuzitambua kwamba ni mbegu. Huonekana kama vumbi nyeusi, lakini usidanganyike.

Current language
Kiswahili
Produced by
Agro-Insight, ICRISAT
Share this video:

With thanks to our sponsors