Kuboresha uji kwa viungo vinayopatikana nchini
Uploaded 4 years ago | Loading
12:20
Reference book
Matunda na mbogamboga huwa na vitamini na madini mengi ambayo ni muhimu katika ukuaji wa mwanao. Matunda yenye uchachu yana vitamini C ambayo husaidia mwili kuvuta madini ya chuma.
Current language
Kiswahili
Produced by
AMEDD