Utunzaji Mzuri wa Nyanya
Uploaded 1 year ago | Loading
6:30
Mara tu unapovuna nyanya zako, ubora wake huanza kupungua. Unachoweza kufanya ni kupunguza kasi ya kupungua huko kwa ubora, kwa kufuata baadhi ya mbinu za kupunguza uharibifu na madhara mengineyo.Siri ya kupata nyanya nzuri za kuuza huanzia kwa wavunaji. Ikiwa wanaweza kujiepusha kuharibu zao hili, basi kuna nafasi ya kuepuka uharibifu huo.
Current language
Kiswahili
Produced by
Countrywise Communication