Uvunaji na uhifadhi wa dengu
Uploaded 2 years ago | Loading
15:30
Dengu au choroko pamoja na nafaka, zinahitaji uangalifu maalum wakati wa kuvuna na kuhifadhi. Zipake mbegu zako mafuta ya mboga na uzihifadhi kwenye chungu cha udongo. Ongeza majani ya mwarubaini na pilipili hoho kavu. Funika chungu hicho kwa kitambaa na seng’enge ili kuzuia panya.
Current language
Kiswahili
Produced by
Atul Pagar, WOTR