Jinsi ya kutengeza udongo wenye rutuba kwa upanzi wa vitunguu
Uploaded 4 years ago | Loading
7:02
Sawia na mimea mingine, vitunguu huchukua virutubishi pindi mizizi yake inapovuta maji kutoka kwenye udongo. Virutubishi ni chakula cha mimea, Ila vitunguu vina mizizi chache na zenye kina kifupi na kwa hiyo huweza tu kuchukua virutubishi vilivyo juu ya udongo.
Current language
Kiswahili
Produced by
Agro-Insight