<<90000000>> viewers
<<266>> entrepreneurs in 18 countries
<<4647>> agroecology videos
<<107>> languages available

Kuanzisha shamba la vitunguu

Uploaded 4 years ago | Loading

Vitunguu vinahitaji shamba lenye rutuba nyingi au mabaki ya mimea yanayooza ili udongo uwe tifutifu.Chagua shamba lenye rutuba, ambapo vitunguu havijapandwa katika miaka ya hivi karibuni kwa sababu magonjwa ya vitunguu yanaweza kukaa ardhini kwa miaka kadhaa. Panda tu vitunguu katika shamba mara moja baada ya miaka mitatu

Current language
Kiswahili
Categories
Produced by
Agro-Insight
Share this video:

With thanks to our financial partners